Tunaelekea kwenye ufufuko Tafadhali laana zako bakiza sebuleni kwako we kitaulo
πππJinsia ya tatu ipi Joanah?
Kitaulo??[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuhusu laana bakiza wewe huko na vibonge vyako huko kijijini kwenu vinavyorudia taiti ya pink...mie sina laana
Ukibonge wangu mkuu hakuna cha zaidiKwani shunie una nn eti
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Moja ya kigezo alichosema ni kwamba huo ubonge wako akikuona tu wallet yake inatingishka kwa furaha
Sawa shemeji yangu acha nimuache tuUsimzingatie huyo shemeji
Asa mi ningejuaje kama joana nawe ni CHI CHI chiboooonge aa chichi
Lkn kama we ni kibonge na unajipenda sio mbaya we potezea tu mi nawazungumzia waleeee
Mchagua jembe si mkulima,ukiona mwanaume anatoa visabab vingiii ujue kibamia ama jogoo hapand,sis malijali ukijua tuu dem anakuja geto mnara ushaanza kusoma,akifika jee si balaa,huo mda wa kuskia haruf unatoka wap
Dear na wewe kibonge??????Mmefikia uko kutusimanga vibonge [emoji134]
Hao unaowazungumzia ulitakiwa uwaambie wabadilike kwasababu kuwa mchafu sio kilema....hakuna binadamu aliyekamilika,ni suala la kuelekezana
Kwani wale wanaume mnaowatosa kisa hawana mkwanjee wana ukilema gani ety Dada joa...
Eti akamalizia na taiti ya pink[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtuwache jamani
Wapi ulipoona nimeandika nimemtosa mtu wa namna hiyo?
Wewe ulichokiandika umeandika ili iweje?Afu sikujua kama huwa mnaandika mkishawabwaga ...mnaandika ili iweje sasa au siku hizi wanawake mmegeuka college za uandishi
Relax Joan nishaelewa we ni kibonge msafi mama ....hii sio uefaWewe ulichokiandika umeandika ili iweje?
Acha mama alivyo asha boko ndio nipo mimiDear na wewe kibonge??????
Relax Joan nishaelewa we ni kibonge msafi mama ....hii sio uefa
Kimsingi huna hoja za msingi
Huo msingi kimsingi sio wa msingiJambo la msingi ni kuulewa msingi wa thread yenyewe ....