elvis richard
Senior Member
- Dec 6, 2014
- 195
- 208
Usjal Mdogo wangu tushakutafutia mchumba amekupenda na ubonge wako hvo hvoMmefikia uko kutusimanga vibonge [emoji134]
Atanipenda kwelikweli kaka Bonny kama nilivyo eenhUsjal Mdogo wangu tushakutafutia mchumba amekupenda na ubonge wako hvo hvo
Huyo ni kibonge wako tu mchafu mwambie aoge vizuri na mswaki apige hutaleta tena malalamiko mkuu
Saiv siwataki aisee labda mnipe mask ya kuzibia mdomo na pua nisiwe naiskia iyo harufuUsjal Mdogo wangu tushakutafutia mchumba amekupenda na ubonge wako hvo hvo
Mmefikia uko kutusimanga vibonge [emoji134]
Wanawake wembamba huwa hawasweat ovyo ovyo na wananukia vizuri tu hawa wengine hawa dohHuyo ni kibonge wako tu mchafu mwambie aoge vizuri na mswaki apige hutaleta tena malalamiko mkuu
Uchafu ama usafi wa mtu ni yeye tu...hakuna cha mnene wala mwembamba
Mi nakushauri kama wanene umeona mmeshindwana katika usafi jaribu kwa wembamba...ukishindwa hamia jinsia ya tatu manake wale huwa wanajitahidi
Moja ya kigezo alichosema ni kwamba huo ubonge wako akikuona tu wallet yake inatingishka kwa furahaAtanipenda kwelikweli kaka Bonny kama nilivyo eenh
Mabonge watam sana ila labda nimekosea tafsili manake wale wenye msambwanda wananoga sana kwenye chuma mboga
Kwani shunie una nn etiAtanipenda kwelikweli kaka Bonny kama nilivyo eenh
Jinsia ya tatu ndo kina nani hao ...au ni wale wanawake wenye mikia mbele ??
Huko usijaribu hata kuzungumzia utanitapisha bure nimetoka kula wali rosti sasa hivi tu......
😀😀😀Jinsia ya tatu ipi Joanah?Uchafu ama usafi wa mtu ni yeye tu...hakuna cha mnene wala mwembamba
Mi nakushauri kama wanene umeona mmeshindwana katika usafi jaribu kwa wembamba...ukishindwa hamia jinsia ya tatu manake wale huwa wanajitahidi
Hapana
Ni nyie mnaoliwa tako