Okeeeprivacy mpaka wafikishe miaka 18!
Kwakweli, wao kuisoma tu ilitosha sio kuanza kuisambaza mitandaoni, ili iweje sasa!! Au ndio uwaziri uligoma sasa anatafuta atention kivingine!!!!Mbona mnaingilia privacy za watu? Au kwasababu ni watoto?
mmh ila mimi sijaona ubaya wowote kushare hiyo barua.. maana wengine wangependa kujua maendeleo ya hao watoto!Kwakweli, wao kuisoma tu ilitosha sio kuanza kuisambaza mitandaoni, ili iweje sasa!! Au ndio uwaziri uligoma sasa anatafuta atention kivingine!!!!
Kwahiyo maendeleo ya hao watoto ndio yako kwenye barua?mmh ila mimi sijaona ubaya wowote kushare hiyo barua.. maana wengine wangependa kujua maendeleo ya hao watoto!
Dogo ameshapata network ya ukweli... hahah.. si unajua tena wazungu wakipenda wanapenda kweli kweli.. tena hawa ndio wameanza utotoni ni hatari,,,,Daaah dogo kaulamba papuch ya USA sio mchezo tena ya kishua naona Wilson high school anaenda kusomea state
Barua inasaidia kutufahamisha kuwa wameweza kupata na marafiki pia,,, yaani wabongo mnataka updates za hospitalini tu,,,,, hawa watoto walihitaji zaidi ya matibabu pia vitu vya kuwajenga kisaikolojia kwa mkasa waliopitia!Kwahiyo maendeleo ya hao watoto ndio yako kwenye barua?
Wangetuelezea wanavyoendelea tusingewaelewa? Mbona hata videos zao wakiwa kwenye mazoezi ya viungo zinarushwa na inatosha kuelezea wanavyoendelea!!!

Kwa upande wangu naona sio sahihi. Labda mi ndo mshamba ...[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwakweli, wao kuisoma tu ilitosha sio kuanza kuisambaza mitandaoni, ili iweje sasa!! Au ndio uwaziri uligoma sasa anatafuta atention kivingine!!!!
Kwa upande wangu naona sio sahihi. Labda mi ndo mshamba ...[emoji23] [emoji23] [emoji23]