Raha ya mapenzi kugombana

Aaaaah hilo siyo la kuuliza yaani nimekuta sms kwa wife usiku wa saa sita eti usiku mwema namuuliza huyu nani anasema rafiki yake wa kazini nikakumbuka raha ya mapenzi ni kupigana.

Nikamuinua nikapeleka kofi akajibu kwa kichwa, akanitupia kichwa Fatuma cha uso nikapata kiwewe cha muda, nikapeleka teke yani hata sijui ni muda gani alitoka chumbani na kurudi na kisu.

Akanichana begani nikapiga "Mamaaaa nakufa huku" nikaanza kutafuta upenyo nikimbie, mezani naona kikombe cha plastiki nikachukua nikampiga nacho kichwani. Akareact kwa kuniletea ngumi ya tumbo, asikwambie mtu ugalia siyo chakula, yaani nilishangaa umetoka kama uji.

Nikaona huyu mwanamke hanielewi, nikakamata mkono wenye kisu nikamputa kisu halafu nikamkaba akaanza kujigongesha ukutani, tulipofika kwenye kabati nikashindwa kuvumilia nikamuachia nikapiga magoti nikaanza kumuomba msamaha.

Nashukuru nimesamehewa.
 
Ungemalizia NIMEWAZA KIPUUZI
 
Leo nimeamka vibaya! Heading ya hii thread ilinitisha kweli! My mind read 'g' as 't'🙂 Only to be disappointed when i read the whole thread!

Rudi kulala
 
Reactions: SMU
dah! kumbe yalianza kumsumbua kitambo..
R.I.P
 
Rest in peace nigga[emoji17]
 
Yaliyofichika moyoni tungekuwa tunaonyeshwa tungekimbiana haki vile.
 
Teh teh ngoja namm nije nilianzishe aiwezekani tukae mwaka mzima bila conflict
 
Taratibu unaanza kumsoma huyu bwana nini kilikuwa kinamsibu. Ingetokea ukaingia kwenye anga zake ungejuta kuzaliwa...ila kumbe naye alikuwa na weakness yake...anasambaratika na mapenzi. What a world!
 
Mbona alitoa ushauri mzuri tu kwahiyo yeye alishindwa kuutumia au! Daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…