Raha na Faida za kuwa single kwa muda mrefu

niko single aisee... ni maajabu sana!

lakini kuna faida wakati mwingine kuwa single, na kuna hasara japo kidogo!

kuulizwa umeamkaje, kubembeleza sijui na madiko diko gani mwisho wa siku umepigwa kibuti, damn...

usawa huu miaka miwili sasa ajira hakuna, bado njemba ina r/ships 3... ni ajabu...

nipo nipo single kwanza...
 
Yaan kuish kwa uhuru bila ya kufuatiliwa ktk mambo kadha wa kadha
 
Niko singo ila sielewi ni kwanini.. je kuna tatizo hapo?
Kwani imetokea tu mkuu?? Au ilisababishwa na nini? Uliumizwa na mtu, au uliamua tu uwe single
au mtu/watu unaowapenda they dont appreciate who you are so they cant love you for who you are,
nini sababu unaona mkuu kati ya hizo nlizosema
 
Kwani imetokea tu mkuu?? Au ilisababishwa na nini? Uliumizwa na mtu, au uliamua tu uwe single
au mtu/watu unaowapenda they dont appreciate who you are so they cant love you for who you are,
nini sababu unaona mkuu kati ya hizo nlizosema
Nakiri kuumizwa ila sometimes nahisi ulikua ni ujinga wangu mwenyewe, maana nilikua sina uwezo wa kumuacha sababu ya mapenzi yangu kwake.. Almost 5 years nimekua mtu wa kuumizwa na mtu yule yule mmoja.. nilijitoa sana coz nilimpenda mnooo aseeh ila akatumia huo mwanya wa kunifanyia visa na kuniumiza.. aseeh ni story ndefu mno ukilinganisha na miaka yote hio.. Acha tu niwe singo coz kila nikijaribu kuji engage tena naona nitawaumiza binti za watu coz sina mapenz tena, nimejaribu mara kadhaa lakini najikuta ni matamanio tu ya wik moja alafu baada ya hapo si feel chochote!!..
 
Pole sana mkuu. i know how much it pains and i know what am talking about
 
Maisha ya kuwa single kwa mtu ambaye ashawai kuwa na mpenzi ni magumu sana kwasababu ya mazingira kila anapoona wapenz wawili wapendanao wako pamoja basi naye anavuta picha ya uhusiano ambao alikua nao na hatimaye unajikuta unakua na stress mawazo ya kutaka mahusiano yasiyokoma na unajikuta una hasira za mara kwa mara na kujenga mtazamo has kuhusiana na jinsiaa fulani.
 
Hakika mkuu umezungumza jambo la kweli
 
Mmmmh kuwa single hapana mi na album ....mapenzi yana raha yake jamani ....nilikaa single mwezi nikaona Kama mwaka hakuna wa kukuuliza umeamkaje, kubembelezwa ,kudekezwa hakuna duuuh usingle hapana
kumbuka hivyo vitu kuvipata ni lazima wallet itumike pia
 
umenena kweli mama wa singeli (kwa sauti ya kizenji)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…