beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
Hivi umenitaja? Unaishi wapi vile.
naish nata wapajuaaa
Hivi umenitaja? Unaishi wapi vile.
Mie na wewe hajatutaja!
Sijui kimavi kimeanza kuvinjari anga zetu?
Nevertheless bado sijaamini kama hivyo ndivyo katufogeti. Nway beibe nasty mambo?
Kwanin uteseke uhangaike njoo leo chitchat upate raha zote unazozikosa majukwaa mengine.. Njoo huku bwana chitchat kisiwa cha msongo wa mawazo huru(stressfree zone).. Utakutana na watu kama wakina Charming Lady,lady furahia,Madame b my sister,Mr Rocky mzee wa mawivu,mabepari ya kihaya wanajijua hapo...jaman na wengine wengi. Mi chitchat ndo nshafika nitoke niende waapi...baelezee na wenzio kwamba ChitChat ndo habari ya mujin kama ya shekhe ponda(joking) hapana chezeiya..
Wasalamu Beibe nasty