Rage Tabora tunakufa

Tabora bana haibadiliki. Nilikuwepo 1993 nikarudi mwaka huu iko vile vile. Naona kama imechoka zaidi.


Tuombe radhi mkuu!Ni kweli tunanuka dhiki kali lakini mabadiliko yapo kiasi chake! Umesema uliondoka 1993 Haujashangaa hata kuona ghorofa ya kwa mkuu wa mkoa?ghorofa ya NSSF je? Siku hizi angalau tuna vyuo vikuu viwili japokuwa ni vya private.
 
Rage waonee huruma Wanyamwezi - ni lini wewe ulitaka kufa na wanyawezi? uko na shida ipi wakati juzi tu ulikuwa uwanjani live uingeleza ukicheki game la Sunderland na Southampton? Ungekuwa unataka kufa na wanyamwezi hiyo nauli na hoteli mgegawana nao ukawanunulia hata vyandarua na vitanda wodi ya kina mama pale Kitete hosp.
 
lini amelala? afu unajua Tabora nikubwa jimbo gani unanzumzia Tbr mjini? Igunga, sikonge? suala la Elimu hamna mtu asiyejua heshima ya Tabora boys top10 necta kila mwaka haikosi!
 
rage mpiga porojo mkubwa maneno kuliko vitendo hakika ccm ni janga lingine la kitaifa.
 
Dental formula ya Rage inaonyesha kabisa hana akili timamu sijui watu wa Tabora nani kawaroga?
 
Wewe utakuwa umetumwa.

Join Date : 25th April 2013

Posts : 51

Rep Power : 313

Likes Received
8

Likes Given
0

Hata kama ametumwa je aliyoeleza kwenye post yake yana ukweli ama la? tujibu hoja kwa hoja na sio personal attacks..
 
2015 historia kujirudia,tabora ni miongoni ya mikoa maarufu sana katika mikakati ya kupatikana kwa uhuru wa tanzania.naamini tabora itakuwa ni miongoni ya mikoa itakayowezesha kumtowa madarakani huyu mkoloni mweusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…