Rage: Nchi hii tunaitafuna wenyewe, mwishoni tutatafunana wenyewe

Mambo kuzidiana. FAT ilikuwa cha mtoto na hata impact yake kwa ustawi wa nchi na watu wake si kama haya anayoyapigia kelele.
 

...na watatafunana kweli.
 


Wana JF,

Kwa hiii Issue kama CCM inataka kujisafisha basi huu ndio wakati wake mambo yamekuwa mambo JK hadi mwanao sasa ndio yale ya kina Gaddafi na wanae na Mubarak na wanae ndio huko twaenda msije sema wananchi wanamatatizo kwanini wameingia mtaaani kwa maandamano, Tatizo ndio hili kupeana vitu kinyemela nchi hii amakweli ndio maana mwapigania kila njia kutumia dola kujiimarisha msiguswe sasa wakati umefika Ridhwani nilikuambi watu wanakusomea ramani sasa wameanza kukushika taratiibu mpaka utamalizika ukijitizama.
 
Mambo kuzidiana. FAT ilikuwa cha mtoto na hata impact yake kwa ustawi wa nchi na watu wake si kama haya anayoyapigia kelele.

Huyu mdau kama ni kuhukumiwa jamani alishatumikia kwa hivyo kama ni kujibu alishatimiza majibu.Deni lake sasa ni kuwa mkweli kwa kuwa dhambi ya uongo na wizi anaijua vilivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…