Rage: Mmebugi men....!

md4doctor2000

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2012
Posts
736
Reaction score
315
Rage ametoa hiyo kauli wakati akiwakebehi wapinzani! Ni sahihi? Naibu Spika ....Naomba Mwongozo!
 
Namchukia huyo Msomali hadi ananifanya niichukie club ninayoipenda ya Simba,simply b'z anaiongoza yeye.
 
nilifikiri atakuwa na hekima kwa umri wake, lakini kumbe kila siku ana kazi ya ku - analyze nani muislam na nani mkristu. huyu ndiye mdini namba moja!
 
nilifikiri atakuwa na hekima kwa umri wake, lakini kumbe kila siku ana kazi ya ku - analyze nani muislam na nani mkristu. huyu ndiye mdini namba moja!

Lini umeshasikia kwamba "SHETANI AKI ZEEKA ANAKUWA MALAIKA???
 
kama mtu huna cha kuongea bungeni,ni bora kukaa kimya...alikuwa ana-bore alivyokuwa anatoa pumba zake,alikua anajipendekeza kwa kumsifia rais
 
kwa maneno aliyoongea leo mzee rage ya kisharo inaonesha ccm haina wazee wenye busara tena!
 
Ananipptezea stim za kum-kidedea MNYAMA
 
Rage hewa tu,eti wazee wa ccm wenye busara! Hivi kumbe ccm inamasharobaro wengi hivyo bungeni???? Kweli tabora+simba hamkutulia kufanya decision still u hv a chance 4 changes.
 
nilifikiri atakuwa na hekima kwa umri wake, lakini kumbe kila siku ana kazi ya ku - analyze nani muislam na nani mkristu. huyu ndiye mdini namba moja!

Hivi huyu ana kisomo gani? Namwona kama mdini sana na tena anayedhani watu siyo analytical. Kwa kweli kila akisimama anakera. Siyo kiongozi wala msemaji mzuri ndo maana klabu yake imeshindwa vibaya sana tangu aiongoze.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Jinsi alivyoivuruga simba na kuitoa kwenye ramani....ndivyo anavyotaka kuliharibu bunge....na kuendelea kuwatelekeza Tabora....
Yeye amezoea kupambana na Nyange Kburu unadhani ataongea nini bungeni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…