Anasema kweli ni mambumbumbu. Ana reference nyingi. Na hasa kama mwanasiasa anajua hakika wadanganyika ni mbumbumbu pia. unakuwa madarakani miaka mingi bila kuwapa maji kwa mfano, lakini watakuchagua tena kwa ahadi ileile ya kuwaletea maji yaleyale walokuwa hawana. Nchi hii kweli imejaa mambumbumbu. Rage yuko sahihi maana ana uzoefu na watanzania.