Kubwa la Maadui
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 7,957
- 15,721
Huyo Rage ana mademu wengi sana huko Yanga hamuishi kumtaja taja kwa jinsi anavyowapelekea moto,bado kuwatieni mimba tu mumzalie watotoKatika hali ya kustaajabisha timu ya simba sc imewafanyia vipimo vya afya wachezaji wake wapya 9 baada ya kuingia nao mikataba kabisa na kuanza pre season huku nchini uturuki
MASWALI
1. Wametumia sayansi au mbinu gani mpya duniani ya kusajili mchezaji akacheza hadi mechi na baada ya wiki kadhaa ndo wampime afya?
2. Je kuna timu nyingne hapa dunia ishawahi fanya hivi au wao ndo wagunduzi?
3. Je hili jambo ni nzuri waendelee nalo au wamepuyanga?
4. Je viongoz wasimba wanawadharau mashabiki wao au lah?
5. Viongoz ni mbumbumbu au mashabiki ni mbumbumbu au wote ni mbumbumbu
6. Je viongoz wanahisi wanaongoza kundi la ng'ombe kwahyo hawajali kitu au wanafanya kusudi?
Kwenye ujezi wa sanamu mm ntajitolea saidia fundi
View attachment 2705265
Jinsia gan ww mwanamke,mwanaume au upinde?Huyo Rage ana mademu wengi sana huko Yanga hamuishi kumtaja taja kwa jinsi anavyowapelekea moto,bado kuwatieni mimba tu mumzalie watoto
Rage ni geniusHapo namba 5 jibu ni WOTE NI MBUMBUMBU
Nyinyi wote mbumbumbuAlisikika sope “pale yanga wenye akili ni mzee kikwete na Baba yangu” kuna ubaya gani kuhakiki afya za wachezaji wako ?
Huko Yanga ndiyo mumejaa upinde ndiyo maana muda wote mnamtukuza basha wenu na wewe ndiye mbwiga mwandamiziJinsia gan ww mwanamke,mwanaume au upinde?
[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbumbumbu hawataelewa utasikia agenda yao ni kujaza uwanja kwa buku buku
Una hakiki baada au kabla? uliona wapi hio kitu?Alisikika sope “pale yanga wenye akili ni mzee kikwete na Baba yangu” kuna ubaya gani kuhakiki afya za wachezaji wako ?
Pinde hilo comments zake hua ni za kuliwa [emoji2539] tuJinsia gan ww mwanamke,mwanaume au upinde?
Afadhali hata Simba wamewafanyia wakati huu. Yanga hawajawafanyia vipimo kabisa akina skuduKatika hali ya kustaajabisha timu ya simba sc imewafanyia vipimo vya afya wachezaji wake wapya 9 baada ya kuingia nao mikataba kabisa na kuanza pre season huku nchini uturuki
Unauhakika?Afadhali hata Simba wamewafanyia wakati huu. Yanga hawajawafanyia vipimo kabisa akina skudu
Hujajibu swali la msingi ,kwamba kuna ubaya gani kuhakiki afya za wachezaji wako ? Iwe baada au iwe kablaUna hakiki baada au kabla? uliona wapi hio kitu?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app