Rafiki yangu , mbaya wangu , hewala

Hahahahaha kugongewa siri ya ndani,ukishatendwa ndo bye byee
 
Mapenz yana run dunia!trust NOBODY!poule kwa yaliyokukuta,
 
^^
Pole sana, Ni jaribu umepitia..
Hao akina lulu Christopher hata kwetu wapo
^^
 
Duh,
Kama ni kweli basi nimekuheshimu Braza...
Hako kalulu achana nako kasije kukuletea ngoma.
Halafu msela naye mmwage kimya kimya, huyo hata kukutoa roho hashindwi...
 
Mlupembe

pole sana ila naomba utambue kuwa wanawake ndivyo walivyo bora wewe mm mwenzio nimezaa nae watoto 2 na nikamkuta na mchungaji ndani mwangu ila kwa sasa nimepata mwingine japo nae simuamini sana don't trust anybody.
 
Last edited by a moderator:
Ningekuwa wewe ningerudisha shukrani ya sadaka kwa Mungu maana amekuonyesha haya kabla hujaingia kwenye hiyo ndoa.

Kaka uko sahihi sana yan Mungu kamuonyesha jamaa mapema kua ni aina gan ya msichana alikua anadeal nae,so amshukur sana Mungu mana angeingia kwenye ndoa na hali ikawa hivo ndo mambo yangekua worse kabsa na angeumia zaid mana talaka nayo ni aib na heri uchumba si vigumu kuvunja
 
Poke mkuu kwa wakat mgumu ulionao ila take it from me...they gona pay high for tht....ata km haitakua leo au kesho ila they are going to pay...

Muombe mungu uwasahau masnitch ao u-move on wth ya life...

Pole sana mkuu
 
pole sana ila naomba utambue kuwa wanawake ndivyo walivyo bora wewe mm mwenzio nimezaa nae watoto 2 na nikamkuta na mchungaji ndani mwangu ila kwa sasa nimepata mwingine japo nae simuamini sana don't trust anybody.

Mchungaji wa ngo'mbe ama wa watu? Wat a shame, pole sana mkuu
 
Katika hao majirani, kama kuna mmoja wao yeyote mnaurafiki wa aina yoyote nae mteme kabisa, inaonyesha hao majirani walikuwa wanajua picha nzima lakini wakauchuna, nao pia ni wanafiki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…