Ameoa mwezi wa nne. sasa hivi mkewe ni mjamzito, wiki iliyopita mkewe amedai arudi nyumbani , jamaa akamgomea, lkn ikawa tifutifu hadi jamaa kamsafirisha, kufika nyumbani , ametoboa siri kumbe jamaa amemla mgongo mkewe hakukubaliana na hali hiyo. kwa sasa anaitwa huko kwao wakina shangazi , wakwe, babu na bibi wanamuhitaji akajieleze........!!! kanijia na taraka eti anampelekea mkewe,nilivyomdadisi ndo akaniambia (nikashindwa la kumshauli) WANA JF tusaidiane tafadhali.
Duh! Hii kweli kali yaani huyu bwana ameshindwa tofautisha mke na mwanamke wa nje?Inawezekanaje kweli hata kumuanza kumuambia mke wako wa maisha kuwa munahitaji kufanyakitendo hicho,I CANT IMAGINE.
Au jamaa amekuambia walikubaliana au alilazimisha,au alikuwa amelewa?
Hamna ushauri wowote zaidi ya yeye kusubiri kuvuna alichokipanda.PERIOD.
Kwa hiyo wanawake wa nje ndo wa kuliwa mgongo?
No! Najaribu kusema kuna unavyoweza fanya na wanawake wa nje kutokana na ka-tabia lakini kamwe huwezi dhubuti kwa mkeo bana.
jamani style zingine muwe mnawaomba kabla ya kuchomeka, na huyo dada alilazimishwa (rape) au alikubali mwenyewe halafu sasa hivi roho inamsuta?? naomba kuelezwa ili nijue namna ya kuendelea
hii pia ni possibility, dada anaona aibu.Inawezekana jamaa kmharibu sana mama, sasa kaamua kwenda nyumbani maana anaogopa atajifunguaje naye ana jamba jamba... vijana acheni kuiga ujinga!!!