Rafiki yangu anaomba ushauri

mambo ya kawaida tu hayo, jaribuni na muendelee tu, maana rafiki yako hana wa kujaribu naye ila wewe, kwani we si una boy wako au yy si anaye, mwite boy wako au yy aite boy wake mje mfanye yenu, maisha ndo hayahaya tena mafupi, enyoyini loves
 
sina swali ingine 🐒

hao ni marafiki katika dhambi, kuwatenganisha na huo uovu ni kwa maombi, sala na ibada tu. Ni kuwaonbea tu waachane na hiyo chafu 🐒

kutoa ushauri kwa binadamu,
tena wa kuwatenganisha waliopendana japo ni katika uchafu na dhambi ni ngumu sana,
Lakini kwa Neema na Baraka za Mungu inawezekana wakaacha huo utaratibu 🐒

kibinadamu ukitia neno tu juu yao, tayari utaibua ugomvi baina yako na wao ya kwamba unawaonea wivu ama, unakimbelembele cha kufuatilia ya watu ama na wew unataka 🐒

Lakini pia hata moja akaenda kuishi mkoa mwingine bado, watapigiana video call watafanya mambo yao..
Kuna dhambi ukiitenda inakuganda haswaaaaa maisha yako yote 🐒

Ni huruma ya Mungu inaweza kukutoa huko 🐒
 
Hapa nimejifunza kuwa kwenye msafara wa mamba na kenge wapo...

Nikiwa na maaana wewe nawe unatabia kama hizo hizo...

Maana marafiki zako wanatabia hizo...

Acheni ujinga nyie mabinti, ndio mnasababisha wanaume wakatae ndoa.
Mama mchungaji Samaleko. Pamoja na mifungo ya quaresma na Ramadan kukutana watu ndo kwanza wanafurahia umalaya uliopindukia kweli dunia hii imelewa na inayumbayumba kama mlevi.
 
Hii CHAI imezidi tangawizi ongeza maji weka na sukari Kwa umbali
 
Hapa nimejifunza kuwa kwenye msafara wa mamba na kenge wapo...

Nikiwa na maaana wewe nawe unatabia kama hizo hizo...

Maana marafiki zako wanatabia hizo...

Acheni ujinga nyie mabinti, ndio mnasababisha wanaume wakatae ndoa.
Aku, nani kasema nipo hivyo?
 
Ntakuwa siwapi michapo na story zangu maana mnajishauwa mpaka basi.
 
Anayeomba ushauri ni wewe rafiki yetu au rafiki yako au yule rafiki yetu?
 
Shisha + pombe ni walevi waliokutana kwenye starehe zao acha ibilisi shetani afanye yake
 
Mkuu wewe unajivunga vunga tu ila nikama unataka kujaribu threesome,well Kwa upande wangu am available ila muwe madem wawili,mambo ya kuona pumbu za mwanaume mwenzangu no thank you.
 
Mkuu wewe unajivunga vunga tu ila nikama unataka kujaribu threesome,well Kwa upande wangu am available ila muwe madem wawili,mambo ya kuona pumbu za mwanaume mwenzangu no thank you.
nimecheka balaa.
 
tamu sana naomba nikupe mwaliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…