Mpe hongera kwa mkewe kajifungua, halafu mpe pole kwa kulea mtoto asie wake
Kuna kamanda tulikuwa nae BAVICHA tukipanga mikakati na kuhamasishana juu ya kuimarisha chama, kuongeza makamanda na mambo kibao.
Umepita kama mwezi hivi bila kuonana kwa kuwa nilisafiri. Jana nikakutana na kamanda, amekuwa mpole, amenyong'onyea, hajiamini. Nikampiga kwanza ofa ya samaki na ndizi rost kwenye kibanda umiza. Kidogo akaanza kufunguka kwa wasiwasi,".. Jamaa yangu, nimehamia CCM!" Halafu akatulia kuangalia reaction, sikuonyesha chochote.
Kisha akaendelea "...Wife amejifungua, sina kazi, nimejaribu kila issue inagoma. Hali yangu ni mbaya kiukweli. CCM wamemwaga yale mahela ya wizi, naweza angalau kupona".
Nilisikia tumbo limenivuruga, Nikakosa swali la kumuuliza, ila baada ya muda nikamuuliza, mnamnadi mgombea gani? Mna uhakika wa kushinda? Akasema "Mimi sijui mgombea wala mambo ya kushinda, wao wenyewe wanajua watashindwa, mimi nashabikia tu kila kitu chao."
Mteja wangu wa kuku akanipigia simu, ikabidi niahirishe mazungumzo na kamanda.
Sasa leo tunakutana, jamani nimwambieje?
Naomba ushauri..
km alifulia long time na wife ana tabia km zake ni wazi kwamba hata mtoto anaweza kuwa si wake.Pengine angekula hela ila asifanya kazi ya ccm zaidi ya kuchukua kadi ila kura iwe kwa Upinzani.Ila ni wengi sana wenye akili hizo kwa shida ndogondogo.
Nashauri kabla hujakutana nae pata kwanza kile kinywaji chenu mtakachokihalalisha october mkiingia madarakani!Kuna kamanda tulikuwa nae BAVICHA tukipanga mikakati na kuhamasishana juu ya kuimarisha chama, kuongeza makamanda na mambo kibao.