Ray waniache
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 737
- 507
nchi yake sheria zake na anavyojinasibu dictator yaswihi kuwa na marafiki wa sample hizi?huyo amefanyaje labda au ulitaka awe na marafiki wa aina gani na urafiki wao na huyo ukoje au umemuathiri yeye nini.....??
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Ndio ujue kua sio dictator kama unavyoaminishwa...nchi yake sheria zake na anavyojinasibu dictator yaswihi kuwa na marafiki wa sample hizi?
Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app
Ni mwandani wake wa siku nyingi tangu wakiwa punyog
Hivi kiduku amekosa marafiki kweli?
mpaka huyu?
Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app
jibu likipatikana unitagKwani huyo jamaa ni nani?
-Ndumilakuwili-
[emoji116]jibu likipatikana unitag
Denis Lordman
its Rodman not LordmanDenis Lordman huyu kama sijakosea
Hahahaha aliwajibu dry nini??kuna mwaka rodman alipeleka timu ya maveteran kwenda kucheza mechi ya kirafiki pyongyang na akahojiwa na CNN akiwa huko,jamaa huwa hapendi maswali ya kijinga
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106] poa sana[emoji116]
-Ndumilakuwili-
kumbeits Rodman not Lordman
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
OKits Rodman not Lordman
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
yeaah eti mtu kaenda kimichezo alafu wanamuuliza ishu za kisiasa,eti mambo ya freedom,siunajua tena wamarekani wanajifanyaga wao ndo viranja wa dunia,self righteous bulshitHahahaha aliwajibu dry nini??
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.