HUKU ABROAD
Senior Member
- Nov 20, 2020
- 127
- 210
Ndio kaka nimekuja mjini dar Nina miezi mitatu mpka sasawewe wa mkoani au ?
Kaka Huku hapakufai nenda kacomment FacebookTafuta bwana uolewe
pole sana...Ndio kaka nimekuja mjini dar Nina miezi mitatu mpka sasa
Mtu ambae ashafanya maamuzi ya uhakika hawezi kuja kuomba ushauri kwa Jambo Kama hilo!. Kisaikolojia tunasema ushamtamani ingekuwa humtamani usingeyasumbua maandishi uliyoyaandika humuushaur
Unataka mume hautaki?Kaka Huku hapakufai nenda kacomment Facebook
Unavuta bangi au madawa ya kulevya !?Unataka mume hautaki?
Katina haiwezi include mapenzi aiseeeHaya matatizo yote yataisha tukipata katiba mpya, wananchi tujitahidi tupambane ili tupate katiba mpya itakayosaidia kuweka bayana haki zetu za msingi katika mambo kama haya !
Hahhahaha huna akili aMimi ndo y wake siumeona text ya kuomba pesa mtumie tukale bhn
Ndo nnP.G.O izingatiwe hiyo
police general ordersNdo nn
Mahandow mambo vipi dear?Jiongeze bana unatuchosha!!!
Mbona mkali mkali we dadaJiongeze bana unatuchosha!!!