Rafiki wa kike

BABA WA IMAN

Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
55
Reaction score
7
Namwitaj xana rafki wa kike. umr miaka 17 had 25 ' Awe na uwezo wa kunipa ushaur kuhusu life yangu-
 
Subiri watakuja.

Pia kumbuka msemo huu " kwenye msafara wa mamba na kenge pia wamo, tena siku hizi na mijusi pia"
 
Unahitaji ushauri kutoka kwa binti wa miaka 17, haya Serengeti boy kila laheri....
 
Nilipokuwa chuoni tulikuwa tuna msemo wetu ''Ushoga / urafiki gharama" Evelyn salt umenikumbusha mbali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…