Rafiki wa Girlfriend Wangu

Wenzako haya masimulizi wanayaweka kwenye magazeti ya udaku wanaingiza hela! Jaribu kufanya haya kwa faida.
 
Aisee man ile shemeji yangu vp part 2...tunaisubiri sana,..sema man inaonekana unapenda sana vimwana..!
 

Duuuu ila mkuu We ni mtaalam. Nakukubali saana.
 

Hi bebi kwa bahati nzuri sana sifa zote tajwa hapo juu hata Moja sina
Ila navyokupenda inabidi niaplai tu
Ninavijisababu vichache tu

Cha kwanza ninachekesha sana na madactari wanasema ukicheka tu umeongeza dk 5 za kuishi hivyo nitakufanya uishi muda mrefu na furaha sana.

Kijisababu kingine yaani siyo mchezo mi bahili ile mbaya kwa hiyo kifedha chetu kitafanya maendeleo mazuri sana.

Kijisababu teeenaa.aha nimekumbuka mi banizi pindukia kwa hiyo ukija anga zako in wewe tu usitegemee mwenzako nje.

Sijui nipumzikie hapo au ngoja nilete kingine ila ukini pm nitavileta vyote mgegedo unaendana na matakwa yako utakapo ishia ndoo breki yangu

Love u bebi...............!:thumbup:
 

KIJANA mbona husomeki, hii kitu imeingiaje hapa?!?!!!
 
Ndio maana hua siamini marafiki zangu, halaf wanaume mna tamaaa mno lol
 
Eheh! na hadithi inatu fundisha nini🙂 lol...tupeane tu na tusiwe wachoyo🙂 au?
 
Siku hizi fleva za huku na kule kwenye la chini ni riwaya fupi fupi tu! Kwanini msipeleke kwa shigongo mvute fweza?

Vipaji mnavyo bana!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…