Rafiki ni mtu wa aina gani?

Upendo, kuheshimiana na kusaidizana (kiuchumi, mawazo nk.). Rafiki anawezakuwa mke, mzazi, kaka/dada ama yeyote yule.
Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa!!!

Na kushauriana piaa!!


Aahh nishammisss my unique furendi hadi basiiii!!!😌
 
Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa!!!

Na kushauriana piaa!!


Aahh nishammisss my unique furendi hadi basiiii!!![emoji18]
So rafiki anachaguliwa au anakuja mwenyewe... Means urafiki Huwa unatfutwa na kutengenezwa au Huwa unaanza tu wenyewe???
 
Kina kitu sikielewi, Urafiki.

Kwani urafiki maana yake nini na upo kwa sababu zipi, na ili watu waitwe marafiki wanatakiwa wawe wanafanya nini? Au wanatakiwa wawe katika hali gani?
kasikilize wimbo wa Fid q - sihitaji marafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…