Rafiki kutongoza mke wa rafiki yake!

flintsky

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
654
Reaction score
747
Habari za weekend wana MMU
Hapa nilipo nimetoka kusuluhisha mgogoro mzito sana wa rafiki zangu kipenzi!

Ishu yenyewe iko hivi!
Mke alisafiri na kumuachia simu mume wake yaani walibadilishana simu moja moja.si unajua mambo ya kutumia simu mbili!

Kama siku mbili zikapita simu ya mke aliomuachia ikaingia meseji
Kumuuliza mbona uko kimya sana shemeji?!jamaa kuona meseji akajua mtu na shemejie wanasalimiana tu kikawaida ajabu meseji zikaanza kutiririka kama mvua mara ooohhh shemeji nije huko tutafute sehemu nzuri tule bata na kuku"mume akazidi na yeye kuchati nae na kumchimba zaidi ikafikia sehemu anapondwa na rafiki kwamba mumeo ana mademu wengi huwa najaribu kumsisitiza atulie lakini hasikii.alimponda sana jamaa akijua anachati na shemeji yake kumbe rafiki yake"alichofanya akanipigia simu niende haraka maana anahisi harufu ya damu.kufika ananionyesha meseji daaahhhh sikuamini macho yangu me nikampigia simu jamaa tukutane sehemu ili tumalize kiutu uzima lakini haikuwa hivyo ilikuwa ni ugomvi mnene kama kungekuwa na visu pale sasa hivi tunaongea mengine!.nikamchana jamaa kwamba kama unamtamani mke wa rafiki yako na wewe pia una mke ukifanyiwa hivyo utachukuliaje?!kama ulimtamani shemejio mweupe ungetafuta demu tu mweupe ugonge hadi hamu yako iishe maana wanawake wengi kwanini ufanye hivyo?!
Nikampiga biti hata kwangu asije tena maana hana adabu asije kutongoza hata wangu!
Kweli nimeamini rafiki mkia wa fisi
 
watu kama hao wanahitaji snare na makofi ya nguvu
anakua kama dem bhna
 
Na wewe wako ni mweupeeee.....
 
We wako kashaliwa,bora mwenzio kashtukia mapema...[emoji23][emoji23]
 
Huo ni usheitwan wa hali ya juu.
Jitahidini na nyie mumtongoze mke wake
 
Mngemtegeshea mumgonge kabang
 
Dunia haina siri!

Mguu wangu mguu wako mpaka kwa mkeo nikamshike makalio mbele yako uone inapendezaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…