Wana sura nzuri ?Mimi hapa JF ninao marafiki wengi sana wa kike,nikupe hapo mmoja?[emoji28][emoji28][emoji28]
Na chura pia wanazo![emoji28][emoji28][emoji28]Wana sura nzuri ?
Unataka uwafanyie nini marafiki zangu hao?Nipe ata mmoja bro, ntakushukuru
ohhhhh sawa,basi ngoja nikupe rafiki yangu Miss Natafuta![emoji28][emoji28][emoji28]Tujenge ulfk, u never know she might be the one [emoji23][emoji23][emoji23]
ila ni bondia![emoji53][emoji53][emoji53]We nipe bro, asiwe mcharuko, ntakuarika kwenye harusi yang [emoji23][emoji23][emoji23]
Na mieleka anacheza pia![emoji53][emoji53][emoji53]Ahaa untk kunipa dada ake matumla ama [emoji23][emoji23][emoji23]