Vyuo vingi huanzisha kozi kisanii mnoo, unakuta hawana rasimali halisi za kufaa kuanzisha hiyo kozi lakini kiujanja wanaanzisha, na kwa kuwa TCU bado wako dhaifu katika kuratibu na kusimamia ubora ipasavyo wa vyuo, basi hiyo inakuwa ni advantage kwa vyuo ni majanga kwa wadahiliwa.