nafahamu maana ya neno kutekenya ila rudia post yako halafu eka hilo neno uone kama linamake senseDah! We utakuwa foreigner kwahiyo baadhi ya maneno ya Kiswahili huyafahamu!
Mwanzoni niliamini hivyo nikalazimika kununua nyingine lakini tatizo bado palepale.Nadhani shida itakuwa ni earphones zako... ama iko hands-free?
yap still haimake sense,Mbona lina-make sense tu? Labda kama umezoea hilo neno kwenye matumizi fulani peke yake na sio kwenye mazingira mengine! Kuitekenya ni kama kuishitua lakini tukizoea yale matumizi ya upande mmoja peke yako hata neno kuishitua nalo halita-make sense!!
Sina hakika sana kama nimeelewa hususani hapo pa kioo kuwa on au off. Ngoja niseme hivi: Naweza ku-tune radio on wakati simu ipo unlocked. Itapiga mzigo but baada ya muda, obvious itaji-lock lakini hiyo haifanyi radio kukata! Inapotokea imekata, ninachofanya ni ku-click/press on/of burton ya radio ndipo inaanza tena. Kwahiyo mchezo mzima ndivyo unavyoenda.
Thanks Mkuu, ngoja nijaribu option 2 & 3 coz' hili tatizo linakuwepo hata wakati battery saver ipo off. Nadhani kuna app nimei-download ambayo ina-interfere lakini kwa bahati mbaya, sikushituka mapema kiasi ingenirahisishia ku-deal na new installed app.1. angalia kama umeeka battery saver on sababu hio inaweza kufunga app zinazofanya kazi chini kwa chini pindi kioo kikizima ikiwemo hio radio.
2. kuna baadhi ya simu kama huawei (emotion ui) rom zake pia zina tabia ya kufunga process angalia kama kuna mahala pa kuruhusu.
3. jaribu kudownload 3rd party app ya radio toka store. search neno fm radio halafu tafuta yenye ratings nzuri halafu download uone kama nayo italeta tatizo kama hilo.
Nadhani shida itakuwa ni earphones zako... ama iko hands-free?
Mkuu wangu natumia blackbery curve 8520 haina redio..! Ntaipatajee..yap still haimake sense,
labda nikuulize mimi maswali
hio simu kioo kipo on au off ukisikiliza radio? na huko kushtua ni kuwake simu ikiwa umeilock?
jaribu kuangalia store kama ipo search fm radioMkuu wangu natumia blackbery curve 8520 haina redio..! Ntaipatajee..
Fany mambo yako mkwawa
Ipo mkuu but inahiitaji online listeningjaribu kuangalia store kama ipo search fm radio
fm radio sio redio ya kawaidaIpo mkuu but inahiitaji online listening
But I guess bbcurve hazina redioofm radio sio redio ya kawaida