USA River TV. Imetoa nafasi za kazi kwa Presenter wa vipindi na mtunzi kwaajili ya kutangaza.
Sifa.
Awe ni professional (media personality)
Awe tayari kufanyakazi mkoani.
Ajue kutumia kamera pamoja na editing za video
Tuma CV
Maombi yatumwe email: paphjo@yahoo.com