Wakuu naomba kuuliza mbona radio stations za hii kampuni ya Dr mengi hazipo kwenye radio lists kwenye king'amuzi cha Azam,mfano Radio one,Capital radio na EA radio.
Hapana jamaa hataki anataka kujiuza mwenyewe akihusisha tv na radio zingine kwa ajili ya kuleta ushindani lakini pia usisahau kwamba iliwahikutokea mikwaruzano baina ya hawa wawili.
Hapana jamaa hataki anataka kujiuza mwenyewe akihusisha tv na radio zingine kwa ajili ya kuleta ushindani lakini pia usisahau kwamba iliwahikutokea mikwaruzano baina ya hawa wawili.
Tatzo LA waafrika tuliokuwa wengi ni wivu kwa hyo yy soko lake amefocus kwa watz tu, kwanini wasikubaliane tu wakafanyabiashara coz azam IPO afrika mashariki hvyo haoni kama akiziweka radio zake kwenye azam atakua ametanua wigo kwa kiasi fulani