Radio stations za kampuni ya IPP Media.

B.4really

Senior Member
Jan 30, 2013
199
89
Wakuu naomba kuuliza mbona radio stations za hii kampuni ya Dr mengi hazipo kwenye radio lists kwenye king'amuzi cha Azam,mfano Radio one,Capital radio na EA radio.
 
Hapana jamaa hataki anataka kujiuza mwenyewe akihusisha tv na radio zingine kwa ajili ya kuleta ushindani lakini pia usisahau kwamba iliwahikutokea mikwaruzano baina ya hawa wawili.
 
Hapana jamaa hataki anataka kujiuza mwenyewe akihusisha tv na radio zingine kwa ajili ya kuleta ushindani lakini pia usisahau kwamba iliwahikutokea mikwaruzano baina ya hawa wawili.

Cha ajabu ana magazeti yake lakin mbona utangaza redio one kupitia magazeti ya shigongo?
 
Cha ajabu ana magazeti yake lakin mbona utangaza redio one kupitia magazeti ya shigongo?

Tatzo LA waafrika tuliokuwa wengi ni wivu kwa hyo yy soko lake amefocus kwa watz tu, kwanini wasikubaliane tu wakafanyabiashara coz azam IPO afrika mashariki hvyo haoni kama akiziweka radio zake kwenye azam atakua ametanua wigo kwa kiasi fulani
 
Back
Top Bottom