Salaam Team Redio One Sterio.Jana usiku mliudanganya Umma au Kuupotosha wakati mnauliza swali lenu kuhusu nini kirefu cha ACP. (Africa,Caribbean and Pacific).Mwongozaji akawa anawakumbusha wasikilizaji kwamba Makamu wa Rais Mheshimiwa Samia Suluhu anahudhuria mkutano wa ACP nchini Guinea Bissau kwa msisitizo.Mkutano unafanyika Papua New Guinea siyo Guinea Bissau.Hizi ni nchi mbili tofauti.Kuweni makini kidogo.Vinginevyo Redio yenu inafanya vizuri.Nawapongeza sana.