Abdul kalaam
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 442
- 566
Ina maana hawajaweka Hardware ya FM mkuu.inaleta huu ujumbeView attachment 2284783
[emoji1787][emoji1787]ila wachina mbinguni watafika wamechoka sana. hiyo simu walikusudia kuiita popo wakachanganya herufi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hajui tu inapatikaje ila hiyo simu, ukisoma Specifications yake FM radio, inaonyesha ipo.Ina maana hawajaweka Hardware ya FM mkuu.
Sometime simu zinakuwa na model zaidi ya moja, unakuta jina moja Oppo A8 ila zina model ya China, Ulaya, Asia pacific etc.Hajui tu inapatikaje ila hiyo simu, ukisoma Specifications yake FM radio, inaonyesha ipo.