Habari wana jamvi,nadhani kwa wafuatiliaji wa hiyo teknolojia nchi ya india ndio imekuwa ya kwanza kuwapandikizia wananchi wake toka january na wanaplana mwakani wawe wamewawekea wananchi wao wote,tukirudi ktk uhalisia Mungu ndiye mwenye uwezo pekee wa kuona kila mtu alipo na anachofikiri,ndio maana anaitwa omnipotent,maana yake yupo kila mahali,na anajua unachofikiri.na shetani kwa muda wote anataka kufanana na Mungu,shetani kwa taarifa tu ujue hayupo kila mahali,akiwa kenya ujue tanzania hayupo,ukisoma katika kitabu cha ayubu shetani alipokutana na Mungu ,akaulizwa unatokea wapi?shetani akajibu natoka kuzunguka huku na huku,xo huwezi muuliza mtu anatokea wapi kama uwepo wake upo kila mahali,turudi ktk mark of the beast,hii main purpose ni kuwamonitor watu ili wajue mtu yupo wapi ana matatizo gani kiafya,ana pesa ngapi bank na uwezo huo shetani hana ambaye anao ni Mungu,hiyo ndio alama ya mnyama, ambapo shetani atamsimamisha global leader ambaye ataimplement hiyo mark na atapewa uwezo mkubwa na shetani,na huyo mtu yupo tayari duniani ambaye anaitwa mpinga kristo,na kama ni mfatiliaji wa habari umesikia european union wanataka kumchagua kiongozi ambaye atatawala europe na watampatia uwezo wa kijeshi na mamlaka zaidi ya rais wa marekani.sasa hv muangalie hii vita itakayokuja ya israel na iran na mataifa ya kiarabu atakayeenda kusaini mkataba wa amani israel ndiye atakyekuwa ni mpinga kristo na hapo ndipo mwanzo wa miaka 7 ya dhiki kuu.