Kila inapotokea, matukio ambayo sii mazuri na yaliyofanywa na Ssm, yakiwa yamechukua habari ya juu kwenye magazeti ya siku inayo fuata, RFA, matangazo yao hutoweka hewani kwa kisingizio, kunaitilafu ya mitamboo. Kwa nini lakini?
Diallo si ndo hao hao tu. Hajui kuwa vyombo vyake naanza kupoteza mvuto wa kuhabarisha na kupendwa. BBC ni chombo cha serikali ya uingereza lakin uikosoa na serikali ujirekebisha. Lakini dialo anaogopa. Ni msaka tonge siku hiz amefilisika sio kama zaman