Waakuu habar zenu!, Gari yangu inatatizo la kuvuja maji, baada ya uchunguzi mdogo nimebaini maji hayo yanavuja sehem ya Radiator (RAJETA) ,Naomba kujua gharama za i/Ufundi endapo ataiziba
ii/Kununua Radiator mpya na kuifunga
Niko Mwanza , natumain mafundi wazur mpo humu nitapata ushauri uliotukuka.