Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Hawakukuacha na mimba?Niliwahi kugonga na Black Mamba watatu nikiwa porini hakika sitasahau.
@aggyjay hakuna mimba maana waligonga mwanaume wangegonga mvulana au msichana ile ni mimba kabisa.Hawakukuacha na mimba?
nakutania
Huyo mwalimu wako wa kiswahili usimuacheNiliwahi kugonga na Black Mamba watatu nikiwa porini hakika sitasahau.
Huyo mwalimu wako wa kiswahili usimuache
Radha.... Lugha mbofumbofu kabisaNyoka ana meno 4 ; 2 chini na 2 juu ambayo ndiyo yenye vijitundu vya kupitosha sumu yake inayoruka ama kunyunyiziwa kama dawa ndani ya sindano.
Nyoka akikugonga maana ake anaacha meno yake sehemu alipokugongea na kukutemea sumu yake. Kwakuwa meno yake huwa yamepinda, anapokugh'ata ghafla akitaka kulimbia, anajikuta kutoa meno yake inakuwa kazi maana yamepinda kwa ndani , hivyo hutoka kwa kuyang'oa / kuyakwanyua.
Hapo nae huchanganyikiwa na maumivu na kuishiwa nguvu ambapo mwisho wa siku huanza kutapatapa.
Akikugonga ni kama mtu kakuchoma sindano au mwiba mkali bila ruhusa yako (kisirisiri). Kuna kauchungu fulani kadogo tu anapokugonga , hatoki na nyama.
Ni radha fulani amazing sana !
Share namna ulivyogongwa na nyoka na uligongwaje . Na nyoka wa aina gani?
Kwahio unataka kuniambia huyo nyoka aliekuuma ni mapengo saivi?Nyoka ana meno 4 ; 2 chini na 2 juu ambayo ndiyo yenye vijitundu vya kupitosha sumu yake inayoruka ama kunyunyiziwa kama dawa ndani ya sindano.
Nyoka akikugonga maana ake anaacha meno yake sehemu alipokugongea na kukutemea sumu yake. Kwakuwa meno yake huwa yamepinda, anapokugh'ata ghafla akitaka kulimbia, anajikuta kutoa meno yake inakuwa kazi maana yamepinda kwa ndani , hivyo hutoka kwa kuyang'oa / kuyakwanyua.
Hapo nae huchanganyikiwa na maumivu na kuishiwa nguvu ambapo mwisho wa siku huanza kutapatapa.
Akikugonga ni kama mtu kakuchoma sindano au mwiba mkali bila ruhusa yako (kisirisiri). Kuna kauchungu fulani kadogo tu anapokugonga , hatoki na nyama.
Ni radha fulani amazing sana !
Share namna ulivyogongwa na nyoka na uligongwaje . Na nyoka wa aina gani?
Niliwahi kugonga na Black Mamba watatu nikiwa porini hakika sitasahau.
Wakati ukichunga ng'ombe wa BibiNiliwahi kugonga na Black Mamba watatu nikiwa porini hakika sitasahau.
Yah mzee nilikuwa porini nilipata cha mtemakuni.Wakati ukichunga ng'ombe wa Bibi
@aggyjay hakuna mimba maana waligonga mwanaume wangegonga mvulana au msichana ile ni mimba kabisa.
Jamani Subila kawamiss sana humu na Dura nasema umpe namba yake/yako.Hahaaa sawa mwanaume
Msalimie subila