Radha ya kugongwa na nyoka ni amazing sana

usisahau wengine humu ni watu wazima wenzako.....pia yawezekana humjui jamaa uliemuongelea.
Unawaza tu kifo aliyekwambia kila ukigongwa na black mamba unakufa nani? Acha dhana potofu kuwa mtu mzima basi. Wewe umemjuaje ingali u hai.
 
Back
Top Bottom