Wataalamu wanatuambia Sungura ni mnyama ambaye hawezi kuhimili madawa ya kutibu wanyama, ukiondoa dawa ya minyoo tu anayopewa (ambayo hata binadamu, hususani watoto hupewa) hakuna dawa nyingine yoyote anayopewa Sungura wakati wa kufugwa, hata chanjo hapewi.Sungura Poli au wamjini hofu sindano zisije kua nyingi