Ze Comedy.
Unadhan kungekuwa hakuna wanaume wa kulala nao wasingevaa hivyoo,,soko lipo mbona hata mashoga wapoMama Sabrina hum ndani hakuna mwanaume anaeweza kulanao .watu wahum wanajitambua sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ehehhe mwambie
Zaman wakat nakua baba yangu alikuwa na hofu kwa watoto wake Wa kike lakn mm sasa hivi nmekuwa mzazi Nina hofu na watoto Wa kiume..
Namkumbuka Giuseppe mazin
Hawa je? wanavutia angalau kidogo?Hivi kuna mwanaume mwenye ujasili wa kuzibua mtaro kwa hayo majamaa..
Mtu wa hivyo angezaliwa middle east angekuwa IS
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi kuna mwanaume mwenye ujasili wa kuzibua mtaro kwa hayo majamaa..
Mtu wa hivyo angezaliwa middle east angekuwa IS
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kabisa. Wale waliosoma history watamfahamu huyu jamaa kwenye italy unificationNdo mimi Mazzin
Aim a king of your own empire eti nmepatia?Walivyo na vigimbi basi.
Utafikiri wanabebaga zege kupandisha ghorofani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
R. I. P
I'm the queen of my own empire. [emoji182]
Hata Sijui. Hii lugha bado haijafika huku maana bombadia yetu. Imezuiliwa, Ndo ilikuwa inatuleteaAim a king of your own empire eti nmepatia?
Basi kasheshe kweli kweli na Bombardier imetekwa na Lisu haiji Leo wala keshoHata Sijui. Hii lugha bado haijafika huku maana bombadia yetu. Imezuiliwa, Ndo ilikuwa inatuletea
I'm the queen of my own empire. [emoji182]