R.I.P Davis,
Mimi nina wasiwasi na hivi vyombo vya sheria,havitendi haki,na kwa sisi wakristo hakuna mtu mwenye mamlaka ya kuchukua uhai wa mtu ni MUNGU mwenyewe,hukumu ya kifo ifutwe.Tuwe na kifungo cha maisha.Kwa sababu mwisho kila nafsi itayaonja mauti,hata hao waliomua Davis nao siku moja watakufa.