Kuna jamaa aliweka picha ya mchepuko wake kama (dp) profile pic wassap huku akijua
Mke wake yuko bize hadi jioni....ilipofika jioni Kila akitaka kubalisha picha mtandao
unazingua kuajaribu na kujaribu kubadilisha wapii ikakataa...mtandao unasoma E ikabidi
ajaribu kubadilisha staus ikakubali akandik status R.I.P SHEMEJI TULIKUPENDA ILA
MUNGU KAKUPENDA ZAIDI 
Chezea michepuko wewe 