alikuwa ni pacha wangu. Umeniacha nikiwa bado nakuhtaji tuliishi kwa umoja na mshikamano. Wazaz walizoea kutuona tukienda kusalimia pamoja lakn leo hii umeniacha peke yang mwenzio. Najiona kama npo katkat msitu wenye giza totoro natapa tapa sijui la kufanya nahsi dunia inanizomea.......umeondoka bila hata kusema lolote kwang. Siamin kama umelala ndan ya jeneza. Sna la kusema . Mungu ailaze roho yako mhali pema pepon
pole sana mkuu, dunia mapito, piga moyo konde na maisha yasonge, najua inakuuma lakini ndo hivyo hata ukilia hawezi kuamka, alikuwa kamanda wako kama ulivyosema basi beba sila zake, piga gwanda zake, maisha yasonge, mungu amlaze mahara pema AMEN