Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,360 Reaction score 68,452 Jul 10, 2022 #1 Huyu ni mmoja wa maafande waliofariki katika ajali ya gari iliyoua wapiganaji wenzetu huko Kigoma. Pumzika kwa amani MP Nicholaus Lonjino, daima tutakukumbuka sana hasa ucheshi wako na uwezo wako wa kusakata kabumbu.
Huyu ni mmoja wa maafande waliofariki katika ajali ya gari iliyoua wapiganaji wenzetu huko Kigoma. Pumzika kwa amani MP Nicholaus Lonjino, daima tutakukumbuka sana hasa ucheshi wako na uwezo wako wa kusakata kabumbu.
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,568 Reaction score 17,987 Jul 10, 2022 #2 Mwenyezi Mungu ampumzishe panapostahili..pole kwa familia yake!
Afro king JF-Expert Member Joined May 23, 2020 Posts 531 Reaction score 575 Jul 10, 2022 #3 Restin peace buddy😔 Camilo Cienfuegos said: Huyu ni mmoja wa maafande waliofariki katika ajali ya gari iliyoua wapiganaji wenzetu huko Kigoma. Pumzika kwa amani MP Nicholaus Lonjino, daima tutakukumbuka sana hasa ucheshi wako na uwezo wako wa kusakata kabumbu.View attachment 2286008 Click to expand...
Restin peace buddy😔 Camilo Cienfuegos said: Huyu ni mmoja wa maafande waliofariki katika ajali ya gari iliyoua wapiganaji wenzetu huko Kigoma. Pumzika kwa amani MP Nicholaus Lonjino, daima tutakukumbuka sana hasa ucheshi wako na uwezo wako wa kusakata kabumbu.View attachment 2286008 Click to expand...
Kilangi masanja JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,627 Reaction score 5,258 Jul 10, 2022 #4 Bouy Advent aliyefariki ni yule mwamba alikua kitengo cha maji pale Zone Ab matanki ya maji au sie miaka ya 2014mpka 15 jana nimeona taarifa zimenistua sana sana
Bouy Advent aliyefariki ni yule mwamba alikua kitengo cha maji pale Zone Ab matanki ya maji au sie miaka ya 2014mpka 15 jana nimeona taarifa zimenistua sana sana
Mjukuu wa Magika JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 636 Reaction score 1,205 Jul 10, 2022 #5 Inna lillahi wa inna ilayhi rajiun
Ednatha JF-Expert Member Joined Oct 12, 2012 Posts 489 Reaction score 666 Jul 10, 2022 #6 Apumzike kwa amani!
Mzalendo39 JF-Expert Member Joined Apr 17, 2015 Posts 881 Reaction score 1,035 Jul 10, 2022 #7 R I P Kamanda
Kilangi masanja JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,627 Reaction score 5,258 Jul 10, 2022 #8 Angalia nilichokuuliza kwenye post yangu Camilo Cienfuegos said: Huyu ni mmoja wa maafande waliofariki katika ajali ya gari iliyoua wapiganaji wenzetu huko Kigoma. Pumzika kwa amani MP Nicholaus Lonjino, daima tutakukumbuka sana hasa ucheshi wako na uwezo wako wa kusakata kab Click to expand...
Angalia nilichokuuliza kwenye post yangu Camilo Cienfuegos said: Huyu ni mmoja wa maafande waliofariki katika ajali ya gari iliyoua wapiganaji wenzetu huko Kigoma. Pumzika kwa amani MP Nicholaus Lonjino, daima tutakukumbuka sana hasa ucheshi wako na uwezo wako wa kusakata kab Click to expand...
mkabasia JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 3,074 Reaction score 2,828 Jul 11, 2022 #9 Mungu ampumzishe salama. Kijana mdogo.