Msanii maarufu wa bongo fleva anaejulikana kwa jina la qwiki raka amesema CHADEMA ni chama makini sana. Msanii huyo amesema hayo maneno wakati akifanyiwa mahojiano katika kipindi cha SIZ KITAA KINACHORUSHWA NA CLOUDS TV.
Ngoja wale wa buku saba jamiiforumsisiem waitane kuja kupingana na ukweli. Alichokisema Raka ni obvious, sawa na mtu aseme Obama alikuwepo Tanzania wiki hii.
hofu yangu ile video yake mpya cjui kama itaendelea kuchezwa na clouds tv.nadhan hafaham kuwa clouds media iko affiliated na magamba.ila nampongeza kwa kujitambua.bado izzo busnes n' the likes.mbeya city stand up!!!!
Ngoja wale wa buku saba jamiiforumsisiem waitane kuja kupingana na ukweli. Alichokisema Raka ni obvious, sawa na mtu aseme Obama alikuwepo Tanzania wiki hii.
Pamoja sana kamanda Quik de racka.... Ngoja niingie Mp3 sky sasa hivi ili ni download ngoma yako mpya ili nisikilize huu usiku maana umenifurahisha sana.