Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,263
- 44,392
WHATSAPP ni nzuri zaidi ya hii! zote nimetumia.
chief inakula ela hata haitumii internet
Duh matumizi magumu kaka, isiyokula hela ni qute kwenda qute usipige au kutuma sms kwa contact ya simu. Huyo unaempigia lazima naye awe na cute sjui umenipata

Nokia C1 Nitaipata