Ukweli ni kwamba Katika Uislam, Mwanamke hana thamani yeyote ile, ndio maana Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam watakaoingia peponi watapewa nini
Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;
Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”
UISLAMU UNGEKUWA UMEMPA THAMANI MWANAMKE HIZI VERSE TUSINGEZIONA KWENYE QURAN, HADITH NA SUNNAH
Wanawake wana upungufu katika akili zao - Sahih al-Bukhari 304
Muhammad anawafananisha wanawake wapo sawa na mbwa na punda - Sahih al-Bukhari 511
Mwanaume anaweza kubadilisha mke wake kwa mwingine - Quran 4.20
Wake hawawezi kamwe kufanya vya kutosha kuonyesha shukrani zao kwa waume zao imeandikwa katika Wasifu wa Muhammad na Ibn Ishaq, uk. 644 katika aya ya pili.
Wanawake wanafananishwa na ngamia - Hadithi ya Bukhari 8.73.68
Muhammad considered women as evil and compares marrying a woman with buying a slave or a camel - Abu Dawood, Book 11, Number 2155
Muhammad compares women to devils - Muslim: Book 008, Number 3240
( Muhammad analinganisha wanawake na mashetani - Muslim: Kitabu 008, Nambari 3240)
Wanawake wamepinda kama mbavu. Unapojaribu kuwanyoosha, hupasuka. Kwa hivyo ukitaka kufaidika kutoka kwake, fanya hivyo akiwa bado ana upotovu fulani. Sahih al-Bukhari 7.62.114
Hakuna watu watakaofanikiwa milele wanaomteua mwanamke kuwa kiongozi wao. Sahih al-Bukhari (hadith namba 4425).
No people will ever prosper who appoint a woman in charge of them.(Bukhari Al-Jami as-Sahih, hadith no. 4425)