Qur'an haiwezi chomwa, kwa vile ni maneno hao wamechoma karatasi zilizoandikwa Qur'an ambapo si isshue. The whole Qur'an imejaa kwenye vifua vyetu na kila uchao watoto wetu wanaendelea kuiweka vifuani. Zaidi ya hilo, nowdays imejaa kwenye Androids, Windows na IOS, sijui wataichomaje nayo?