chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,281
- 25,657
Let watch=x, thus X+X+X=60, X=20, the value of watch=20.....(i)
Let tishirt=y, thus 20+2Y=30, Y=5...........................................(ii)
Let slippers=z,thus 5-Z=3, Z=2............................................(iii)
hence: 2+20*5=100+2
=102 SOLVED
Chukua malapa gawa kwa 2.. sababu chini kaweka lapa moja si yale mawili.SAA=20
Shati=5
Malapa=2
So, 2+20Γ5= 102
Kwahiyo jibu hapo ni 102
Chukua malapa gawa kwa 2.. sababu chini kaweka lapa moja si yale mawili.SAA=20
Shati=5
Malapa=2
So, 2+20Γ5= 102
Kwahiyo jibu hapo ni 102
Nimekubaliana na wewe mkuu,mimi nilijichanganya hapo kwenye thamani ya slipper ikiwa moja na zikiwa mbili.20+20+20=60
20+5+5=30
5-2=3
1+(20x5)=101
Uko vizuri mkuu ila hapo kwenye slipper kuna tofauti ya thamani ya sliper ikiwa moja na zikiwa mbili.Let watch=x, thus X+X+X=60, X=20, the value of watch=20.....(i)
Let tishirt=y, thus 20+2Y=30, Y=5...........................................(ii)
Let slippers=z,thus 5-Z=3, Z=2............................................(iii)
hence: 2+20*5=100+2
=102 SOLVED
Dah my god huo mtego nilikuwa sijauona aiseeChukua malapa gawa kwa 2.. sababu chini kaweka lapa moja si yale mawili.
2 ni ndala mbili we jamaa.Let watch=x, thus X+X+X=60, X=20, the value of watch=20.....(i)
Let tishirt=y, thus 20+2Y=30, Y=5...........................................(ii)
Let slippers=z,thus 5-Z=3, Z=2............................................(iii)
hence: 2+20*5=100+2
=102 SOLVED
Unajua kitu kinaitwa Magazijuto?Hili ndilo jibu
Stuka we jamaa... ndala zikiwa mbili ndio 22+20 x 5
2+(20 x 5)
2+100 =102
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kawaida tu mkuu huwa inatokea, enzi zile unatoka kwenye pepa unajua swali umelitackle vizur kumbe, kuna kamtego kadogo umebuma...Dah my god huo mtego nilikuwa sijauona aisee
dU ntakuwa nimechemka mkuu............πππππKumbuka lapa liko moja
Dah'''kweli chief nimeenda chaka................Uko vizuri mkuu ila hapo kwenye slipper kuna tofauti ya thamani ya sliper ikiwa moja na zikiwa mbili.
Nimekusoma mkuu....kwahiyo hapo hunipi hata maksi nusu.....?2 ni ndala mbili we jamaa.
Hapo kwenye swali imewekwa ndala moja... STUKA!
umejitahidi mkuu ApeNimekusoma mkuu....kwahiyo hapo hunipi hata maksi nusu.....?