Exactly, ubongo wa binadamu una mamilioni ya circuit za umeme ambazo hufanya kazi mara 9000 kwa haraka zaidi ya kompyuta. Uwezo wa kuweka kumbukumbu ni kutokana na umeme huu.
Upo sawa kabisa mkuu everlenk kwani nami ndipo nilipo patia #curiosity ya kutaka kufahamu juu ya hii kitu kwani si unajua mtu unatakiwa kuwa "like a moving encyclopedia " kwa kusheheni habari kede kede kichwani.