Beibe ujue umeanza kunipa hisia!
Bishanga uzuri wako mi nakupendea kitu kimoja, kua hisia zako hua haziji mpaka uwe uko kilaji , afu hazichagui pa kutua !
"kilumbila Mungu cha kumemena"
so bby wangu nilishamtoa hofu kwamba akijibishana nawe ajue anaongea na glasi .
Naamini siku ukiacha ulabu mke hukosi .
Mbona la mbao bado utakua umemvesha nguo?
Hapo ni la mabox! Ikinyesha sasa! Msikitini , Church, Shule jirani .
Me ndiyo nasarandiwa, na mpango wa mi kusarandia haujagusa vijishipa vyangu vya fahamu.
Kwa huyu Nasty kata kauli garimoshi limefika Ujiji.
Mtondogoo kwa bishanga....kwi kwi...hapo utajenga banda.
Hivi Asprin ulidhani ukiwa kwa Yummy na BADILI TABIA , yeye anakuwa wapi? Think hommie think!
baby BADILI TABIA upo pande gani leo? hebu tukutane tujadili mustakabali wa haya mahusiano!
am too young for this!!
Kama mto na foronya !Bby hivi hawa hawajui eeeh kuwa hapa mi na wewe sawasawa na jangwa na oasis. hakaukiwi mtuu
Kama mto na foronya !