quele quele love!

Yaani siku hizi ukiuza baiskeli unapata hela kununua plot? Wapi,kilwa kipatimo?
 
Nimejaa tele kama pish la mpunga,namshangaa beibe hapa,sijui leo kaamkia ubavu gani,eti anampenda mrina asali.

Bishanga, ebu nyoosha kidole chako cha kati cha mkono wa kulia, kichovye kwenye asali then kirambe uone! Kama hutorudia kuchovya tena, basi ni lazima utarudia kukiramba kidole mara kumi kumi!! Lol
 
Yako wapii mapenzi wouwooo dunianii...bella ooh ooh njoo nikupendeee
hata nikifa usije msibani kwa sababu una rohoo mbaya...we mubayaa (source Christian Bella - Akudo sound)

Yetu macho

Hilo ni duwa tu lakuku ambalo kamwe mwewe hawez lipata
 
Bishanga, ebu nyoosha kidole chako cha kati cha mkono wa kulia, kichovye kwenye asali then kirambe uone! Kama hutorudia kuchovya tena, basi ni lazima utarudia kukiramba kidole mara kumi kumi!! Lol

Kipipi wewe wanikosha saaana
 
bado kidogoooo watu humu watashikana ugoni.

We waache,wengi wamelishwa limbwata,halafu ogopa maji ya mochwari yakichanganywa na damu ya hedhi kisha akakaangizwa na nyama ya mbwea kisha mtoto wa kiume ukatengewa ule.
 
Bishanga, ebu nyoosha kidole chako cha kati cha mkono wa kulia, kichovye kwenye asali then kirambe uone! Kama hutorudia kuchovya tena, basi ni lazima utarudia kukiramba kidole mara kumi kumi!! Lol

Mmmmmmhhhhh!!!
 
We waache,wengi wamelishwa limbwata,halafu ogopa maji ya mochwari yakichanganywa na damu ya hedhi kisha akakaangizwa na nyama ya mbwea kisha mtoto wa kiume ukatengewa ule.

Watilishaaa looh limbwata ndan ya modern world limbwata langu ni matendo na ulimi wangu tuu hakuna kinyunyiz hata chembe unabahati jg keshawah mzigo ila wewe nahis ungeeza hata kupelekwa mirembe
 
Unajidai eh? Hivi we hujui judgement ni kiwembe mabibi kibao?
 
Halooooo kaoogee bishanga abashaija mimi yawezekana alikua kiwembe but ndo hatma kakutana nanguo ya chuma soo makali yote yameisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…