Uwiii, HC nimemwona juzi, Shabhan naye kafunguka
Huyu naye analea triplets wa ODM, baada ya kuachwa kule alikokuwa mke wa pili
Dah, nilidhani mie tu kumbe hata wewe x-mkemwenza ni hawavumi lakini wamo.
Ha ha ha ha, leo unabanwa hadharani.

Hata mi nlimwona HC days ago.. But shabhan anaonekana yupo determined..
Afu kongosho upo na ODM hapo?
mtoto ana aibu balaa! Sijui kajificha
wapi my queen.
ODM ni Shirika la Umma, usiku unapomkutia analala kwa mke huyo huyo.
Ni jogoo la mtaa wa kwa mtogole.
Ila sasa, CV yake haitoshi kwenye booklet utadhani Jek Chen.
Konnie,acha ushamba bana,huyu sheby kumzukia michelle wadhani ni hivi hivi?msome vizuri sheby kisha changanya na za kwako.......hahaha......hizi ID bana.......wapi michelle njoo umbusu mmeo, bishanga najiweka pembeni nisije nikala za uso!Uwiii, HC nimemwona juzi, Shabhan naye kafunguka
Huyu naye analea triplets wa ODM, baada ya kuachwa kule alikokuwa mke wa pili
Dah, nilidhani mie tu kumbe hata wewe x-mkemwenza ni hawavumi lakini wamo.
Ha ha ha ha, leo unabanwa hadharani.
Hahaha basi akipita kwako hapo umwambie namtafuta sana nna ujumbe wake..
Endelea kumsaidia shabhan kumpata michelle..
Konnie,acha ushamba bana,huyu sheby kumzukia michelle wadhani ni hivi hivi?msome vizuri sheby kisha changanya na za kwako.......hahaha......hizi ID bana.......wapi michelle njoo umbusu mmeo, bishanga najiweka pembeni nisije nikala za uso!
Sheby bana,yale yaleeeeee kuku wako mwenyewe unamwinda na manati!Haya, ntakuitia.
Byshernger naomba mbegu japo moja niongeze majianiazi kwenye ukoo.
Aisee, nimemwona huyooo.
Mmmh, hivi kumbe unaweza tongoza mke wako ukimtelekeza???
Ndo ana triplets wa bwana mwingine ivoo.
Am speechless...!! :yo:
Why do i feel this is too good to be true???
mmmmmmmhhhhhhh????????Am speechless...!! :yo:
Why do i feel this is too good to be true???
Konnie,acha ushamba bana,huyu sheby kumzukia michelle wadhani ni hivi hivi?msome vizuri sheby kisha changanya na za kwako.......hahaha......hizi ID bana.......wapi michelle njoo umbusu mmeo, bishanga najiweka pembeni nisije nikala za uso!
Sheby bana,yale yaleeeeee kuku wako mwenyewe unamwinda na manati!
Am speechless...!! :yo:
Why do i feel this is too good to be true???