Hakuna madhara, sema wabongo wanainterest sana na ufree mason ndio maana wanashabikia , sir chande alisha sema Malkia wa ungereza ni mwana chama hata ile meli ya MV bukoba alichangia paund 10,000/= kupita huko freemason.Acheni kushabikia vitu ambavyo hamvijui enyi watanzania, yeye kuvaa hiyo belt, kuna madhara gani wewe unayapata?
Ni ujinga fulani wa kushabikia vitu ambavyo pengine hata havipo!
Why is Queen Elizabeth's nurse is wearing a masonic belt.
Kuna two powerful symbols hapo, the official masonic logo and the pentagram( five pointed star)